Naomba anaejua farasi wanapopatikana,nataka wa kunisaidia kwa usafiri...Najua ntatembea mikoa yote bila bughudha Halafu nasikia ndio usafiri salama kuliko yote Duniani.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.