Naombeni mnijuze taratibu za kubadilishiwa fedha chakavu benki kuu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Habari zenu

Katika pilikapilika za biashara zangu kwa bahati mbaya nilichanganyiwa fedha kadhaa halali lakini zilikuwa ni chakavu hivyo kila nliyempa alikuwa anazikataa

Naombeni mnipe taratibu za kubadilishiwa fedha kwa mnaofahamu

Asanteni.
 
Nenda nazo bot kuanzia saa mbili na nusu asubuhi utapata maelezo ya namna ya kuzibadili ni rahisi Sana.
 
Nauliza hivi fedha ya Nigeria, Naila 2000 inathamani gani kwa fedha ya Tanzania?
 
Ukienda vibenk vya mtaani sijui nmb,crdb etc pole yako..hawafanyi hizo transactions.
 
Back
Top Bottom