Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Habari za muda huu wakuu,
Katika kufuatilia ziara au mikutano ya viongozi wakuu wa nchi, Mara nyingi sana nikiona viongozi wakuu kama Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. Hasa nchi za Afrika kwa ujumla wakiwa na walinzi wao (Bodyguards) sehemu zote niwaonapo wanazotembea. Wale walinzi huwa hawana desturi ya kufunga vifungo vya makoti yao ya suti kabisa.
Utakuta viongozi wakuu wamefunga au wameachia tofauti kabisa na walinzi wao abadan huwa hawafungi vifungo vya makoti yao, hivi ni kwanini jamani? Mwenye kujua mambo haya kwa walinzi na viongozi wao anijuze.
Nawasilisha!