J jakarason1974 Senior Member Apr 3, 2012 103 50 May 11, 2017 #1 Mwaka jana wafanyabiashara wa sukari walikamatwa kwa kuambiwa walioficha sukari ... Sijui mwaka huu nao watakamatwa kwa kuficha Sukari??
Mwaka jana wafanyabiashara wa sukari walikamatwa kwa kuambiwa walioficha sukari ... Sijui mwaka huu nao watakamatwa kwa kuficha Sukari??
Marisia JF-Expert Member Aug 18, 2016 234 344 May 11, 2017 #2 Sugar smuggled from Tanzania as traders cash in on higher prices