Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,181
Habari zenu wanajamvi niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.
Wakati huu wa mvua sehemu nyingi takribani mikoa yote ya tanzania ambazo mvua hizi uenda mwisho nimekutana na clip nyingi pamoja na matukio ya ajabu ajabu ambayo hatari mwiongoni mwetu.
Katika kipindi hiki ajali za kama magari mengi kukumbwa na maporomoko ya maji kati madaraja na sehemu zingine.
Jambo la ajabu zaidi ni kuona matukio haya kuongezeka zaidi na kuona ni jambo la kawaida na watu kuishia kusikitika bila kuchukua hatua katika nyakati hizi.
Kutokana na ajali hizi ambazo zinaonekana ukifatilia kwa makini unaweza sema ni uzembe wa moja kwa moja ila hatuwezi kutoa maamuzi kwa ujumla wake.