Vedasto Prosper
Member
- Jul 30, 2013
- 97
- 37
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa Hospital. Ntaendelea kuwajuza habari zaidi.
Tuwaombeeni dua ndugu zetu wamekwama barabara ya Mombo Lushoto haipitiki tena magari manne yamefukiwa na vifusi vya matope na mawe mpaka sasa majeruhi wanapitishwa hapa kuelekea hospital
Jamani Wakazi wa Soni- Lushoto, kuna mafuriko mvua inavyoendelea kunyesha wapo hatari kwa mafuriko. Hali mbaya sana na usafiri umegoma tena. huko chini Vuga load, mawe yameshuka tena. Wakazi wa wilaya ya Lushoto tuko katika kipindi kigumu sana Mungu atupe wepesi mvua itulie maana hali ni mbaya zaidi.
Wa Lushoto wa Lushoto wa Mombo wa Mombo Mungu tusaidie