maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,286
- 15,533
Ibada hiyo imeongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu ikihusisha viongozi wa dini zote na wananchi.
Dua na maombi yamefanyika eneo la ajali ambapo binafsi nimehudhuria. Ibada hiyo imetanguliwa na tambiko la kimila lililofanywa na wazee wa kimila juzi siku ya Jumanne.
Tuendelee kuwaombea wanafunzi wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali hiyo.