Kwanini Mbezi na Kimara wamejaa Wachagga kuliko Makabila mengine?

Waasisi wa maeneo husika ni sababu tosha ya kuwepo kwa watu wa kabila fulani ndani ya eneo husika. Mitaa mingi hapa Dar ukiichunguza kwa undani utagundua hilo.
Ni rahisi kumjulisha mtu wa kwenu kuwa kiwanja au nyumba inauzwa mtaani kwenu zaidi ya mtu usiyemfahamu, hivyo hupelekea kujaa watu wa kabila au ukanda fulani.
 
Back
Top Bottom