comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Hivi ni nini faida na madhara ya pete hizi na kama kuna mtu anajua zaidi atusaidie ufafanuzi.
sawa lakini vitu vinavyokuconnect Na nguvu za Giza ni vingi sana Na haviishi tukianza Na bible,Simu,computer, magari,vyakula,vinywaji,Pete,n.k kwa vyote hivi sio mpango Wa munguPete, inakuunganisha na nguvu za giza ( ufalme wa giza ), ili upate nguvu za unayo hitaji. Hasara yake, hutoenda mbinguni, bali utaenda na ulipoji connect
sawa lakini vitu vinavyokuconnect Na nguvu za Giza ni vingi sana Na haviishi tukianza Na bible,Simu,computer, magari,vyakula,vinywaji,Pete,n.k kwa vyote hivi sio mpango Wa mungu