BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Ukiwa baharini kwenye mashua hali ya upepo ikibadilika na wewe unafanya adjustment ili upepo usije ukapindua mashua yako. Hulalaimiki kwanini upepop umebadilika. Kwa hii kuna wanaojitengenezea njia nyingine za kiuchumi tofauti ya zile zilizozoeleka.. Na kuna wale waliobaki kulalama kwa kudhani ulalamishi una badilisha upepo.. Bro Magufuli will be here till 2025. Sasa hii miaka 8 utabaki unalalamika hivi au utafanya adjustment ili mashua yako iweze kwenda sambamba na mawimbi. The fate is on your hand..Ardhi kame, Haina maji wala majani, twiga anaishi sehemu zenye majani, hapo hata akipewa majani ataishia kutafuna tu hawezi kumeza, twiga anabaki dhoofu hali, haya fananisha kwa hali ya tz ya sasa