Naomba kupata mawasiliano ya TSJ na DSJ

Fight ClimateChange

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
294
261
Wadau naomba usaidizi nipate mawasiliano ya Dar ES Salaam School of Journalism na Tanzania School of Journalism.
nina mdogo wangu anataka kwenda shule ya uandishi wa habari na utangazaji. kama kuna mtu anafahamu chuo kingine bora, basi naomba mawasiliano yake.

mawasiliano yanaweza kuwa ya chuo chenyewe, mwalimu au mwanafunzi yeyote aliyepo katika chuo husika.
wenu katika ujenzi wa taifa
FIGHT WEATHER VAGARIES
 
Ukitokea buguruni kwenda kariokoo shuka bungoni,uliza basata iko wapi,ukifika hapo basata uliza dsj iko wapi watakuonyesha pia uliza tsj utaipata
 
NASHUKURU. LAKINI SHIDA NI NAMNA YA KUFIKA KULINGANA NA NILIPO. NDO MAANA NILIHITAJI ZAIDI MAWASILIANO KAMA SIMU AU EMAIL.
nashukuru hata hivyo
 
Mkuu kama unaweza kuingia JF, ni dhahiri unaweza kuingia google! Please, just Google. Information zote utazipata. Jamani dunia ya leo bado unaulizia address ya vitu kama hivi?
 
Wadau naomba usaidizi nipate mawasiliano ya Dar ES Salaam School of Journalism na Tanzania School of Journalism.
nina mdogo wangu anataka kwenda shule ya uandishi wa habari na utangazaji. kama kuna mtu anafahamu chuo kingine bora, basi naomba mawasiliano yake.

mawasiliano yanaweza kuwa ya chuo chenyewe, mwalimu au mwanafunzi yeyote aliyepo katika chuo husika.
wenu katika ujenzi wa taifa
FIGHT WEATHER VAGARIES
Mpeleke chuo kinaitwa mlimani school of journalism kwa uhakika Wa fani anayotaka kusomea au sauti
 
Back
Top Bottom