I want to be inspired

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,024
Salama wakuu,

Nataka kubadili mwenendo wa maisha yangu toka hapa nilipo kuelekea pazuri zaidi, naomba kama unamjua mtu ambae anatoa motivational and inspirational contents about life naomba unitajie, kama kuna link au yupo katika social media naomba nipewe. Natanguliza shukurani.
 
Unaweza kuamua kujiinspire mwenyewe kwa kuamka asubuhi na kufanya ibada,kisha fanya mazoezi kidogo,then kila unachokifanya na unachokiwaza kichukulie kwa mtazamo chanya,jiambie mwenyewe unaweza na kile unachoona kuwa matatizo kichukulie kama changamoto,kama ni mwanafunzi angalia muvi ya kihindi ya Three idiots,kisha ingia youtube tafuta mahuburi ya pastor Joel Osteen.............................................................................................sana.
 
Tafuta bar kaa kona tulivuu agiza 2 za mbeho zishushe ukitafakar ulipotokea na unapotaka kwenda kimaisha utakuwa inspired kama unataka mtu mpe ofa mzee mmoja Hapo bar amwage sera hata ukikaa counter wale ma barmaid wa counter huwa wazur pia kwa maswala Ya kimaisha
 
Unaweza kuamua kujiinspire mwenyewe kwa kuamka asubuhi na kufanya ibada,kisha fanya mazoezi kidogo,then kila unachokifanya na unachokiwaza kichukulie kwa mtazamo chanya,jiambie mwenyewe unaweza na kile unachoona kuwa matatizo kichukulie kama changamoto,kama ni mwanafunzi angalia muvi ya kihindi ya Three idiots,kisha ingia youtube tafuta mahuburi ya pastor Joel Osteen.............................................................................................sana.
Asante mkuu nimepata pa kuanzia
 
Kuji inspire wenyewe ni sawa na kupiga nyeto...
 
Sala uwe na imani, mazoezi tatakusaidia kukuweka katika afya njema na upende kusoma bibliography za watu waliofanikiwa mfano za Obama na wengineo
 
Back
Top Bottom