NI KWANINI MTU YUPO TAYALI KUKUPA MANENO YA UMBEA KULIKO DILI ZA PESA

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
279
Jamani nina jirani yangu ambae kama rafiki yangu wa karibu.

Yeye shughuli zake ni mjasilia mali na ana biashara zake ndogo ndogo ivi huwa anazifanyaga lakini kila nikionana nae nikimwambia tupeane dili za kutafuta pesa au anipe mipango anayoitumia katika kutafuta pesa huwa ananizinguaga mara biashara ivi mara biashara vilee mara hali ni ngumuu.......

Lakini yeye kila nikionana nae au akiwa ananitafuta yeye hunitafuta basi yeye huniletea maneno ya UMBEA kuhusu maisha ya watu mtaani yaani akisikia neno au umbea atakuja kuniambia tuu....

Na hapa ndipo najiuliza ivi inakuwaje mtu yupo tayali kukupa maneno kuliko mawazo au msingi wa vitu vitakavyo kusaidia kimaisha
 
Huyo ni mchawi na wa maisha yako ila anakuroga bila wewe kujijua kama umerogwa

Yaani amekufanya wewe kama jamvi la wageni
 
Back
Top Bottom