Dar: Magari 56 ya Wanafunzi yafungiwa!

Kwanza nishukuru hatua zilizochukuliwa na jeshi la polisi! Huo ndio mwanzo wa uwajibikaji napendekeza pia ukaguzi ushiishie kwenye magari pia shule zingekugaliwa miondombinu na ubora wa walimu,maslahi ya walimu na vitendea kazi ikiwa ni hatua ya kujenga uwezo wa taasisi kuwa proactive instinstitutions than reactive! Hii itatupa picture pia ya kufanya forecasting ya kutosha kudeal na mambo mbalimbali ambayo kimsingi ni manufaa ya umma!
 
Back
Top Bottom