Mkuu wa Wilaya Iringa, Kasesela amefiwa na dada yake

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358

Screenshot from 2017-05-18 19-16-39.png
 
Pole sana mkuu Richard Kasesela kwa msiba wa Dada yako. Mola akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu cha kundokewa na Dada yako kipenzi Kiasi cha kubaki wewe mwenyewe tu (wa kuzaliwa tumbo moja).
 
Back
Top Bottom