Kuna mama niko naye ofisni kanionesha hayo majina , katumiwa na ndg yake aliyekuwa polisi. inawezekana ni ya kweli ila sijajua ni ya mwaka gani au yanahusu polisi wa mkoa au kanda ipi. Maana kwa polisi wetu hawa asilimia kubwa vyeti vyao sina uhakika nazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.