Aliyekuwepo kipindi cha TANU aje hapa

Aliyekuwepo kipindi cha TANU aje hapa

Allelujah

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
450
Reaction score
415
Kweli ndivyo mlivyokuwa mna ahidi..Je mlitekeleza hiz Ahadi?
IMG-20170517-WA0048.jpeg
 
Juzi tu hapa kuna mtu aliahidi kuilinda na kuitetea katiba ya Tanzania ila sasa yeye ndiye wa kwanza kuikanyaga hiyo katiba yenyewe.

Hao watu wa TANU wao walikuwa na single party nadhani haikuwa rahisi kutembea kwenye ahadi zao.
 
Mtag Miss Natafuta..,, Nahic inamuhusu
 
Back
Top Bottom