Hiki nn moja kati ya vyuo bora nchini, nakumbuka nilipata diploma na degree yangu ya engineering hapohapo
Utumwa ni mzigo. Zingatia ujumbe unaosemwa sio lugha ya kiingereza kwani umesikia hao ni watu wa uingereza mkuu??Hicho kingereza dah!
Nimegungua maisha ni magumu kupita kiasUmegundua kitu gani baada ya kupata elimu yako hapo?
SIYO TELECOM HIYO NI COMPUTER DEPARTMENTNomaa Sana telecom hio
Hapo ni wanafunzi wa computer department wakionesha uwezo wao.katika supercomputerSijaelewa
DIT ni chuo ambacho kinasemekana kinaongoza kwa Technology Tanzania angalia maajabu ya kitechnolgy wanayofanya hapa
Mkuu umeongea vyema sana, Wenye akili na hekima watakuelewa sana mkuu.sasa hapo cha ajabu ni nini mleta mada, ngoja nikwambie kitu hao wanafunzi uliowaeka humu hiyo lugha wanayoongea sio mother tongue yao(lugha yao ya kwanza) ni lugha ya pili kwao hivyo tunatarajia makosa kama hayo kujitokeza katika matamshi yao maana bado hawajaimaster vinzuri na wataendelea kujifunza kwa muda mwingi wa masomo yao hivyo si ajabu.
muhimu kuelewa hapo hao si malinguistic ni matechnician hivyo lugha hiyo wanayoongea inamapungufu mengi ya grammers, vocabularies na n.k mimi binafsi ningesema wanaongea JARGON (special words or expressions that are used by a particular profession or group and are difficult for others to understand) na sio kosa kwao kwani muhimu hapo ni kuelewa wanachoelezea na walikuwa wanamaana gani.
NOTE: tabia ya kubeza watu wetu na vitu vyetu si nzuri inakatisha watu tamaa sana hawa wanatakiwa kupewa moyo wa kufanya juhudi zaidi hii tabia ipo sana kwenye mashule na mavyuoni mwetu hapo bomgo mtu akikosea eti anachekwa kwa nini..TUBADILIKEEEE...