babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
Habari jamvini.
Mimi nikiwa member wa jf toka 2013, nilikuwa nafatilia mambo mengi humu toka kwa watu mbalimbali, kwakweli nimepata faida ya kujifunza mambo mengi sana ikiwemo hekima na staha, haswa ukifatilia mm nilikuwa mkorofi kidogo mpk kufikia kumtundika mtu mimba mapeema tuu ikiwa mm ni bado kijana mdogo, ila najivunia huyo binti yangu.
Lkn nimejifunza mengi sana humu ikiwemo siasa safi, asanteni waungwana.
Its me young dady (Nasreen dady)°