illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria