Kama huyu kaiba hivi, wakubwa zake je?

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,644
67c6647b7d3cd85029de0cf1c0ef8f63.jpg
 
Vipi kuhusu wadogo zake pia? Ingawaje hawawezi kumfikia, lakini lazima alikuwa anawapa kidogo walau 15% ya hivyo tunavyooneshwa, kwa mfano. Je, hakuna zaidi ya hivyo?
 
Huyo ni mhasibu tu anapiga hivyo je wale wanaoenda field kabisa kufatilia mapapa ya ufisadi niambie watakuwa wamevuna kiasi gani
 
Back
Top Bottom