Mzazi, Vijana

malikafif84

Member
Feb 6, 2013
39
31
Tabia inayoendelea ya Vijana wetu kufurahia kwa kumwagiana maji machafu, matope, kuchapana bakora au kupigana na viatu kwenye tarehe ya siku zao za kuzaliwa (Birthday) ni tabia inayopaswa Kukatazwa na kila Mzazi, bila kufanya hivyo vizazi vijavyo vitaangamia zaidi!
 
Back
Top Bottom