Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,736
- 7,102
Kwenu wanajamvi,
Rejea mada tajwa hapo juu.
Leo katika kufuatilia maneno ya Mungu kupitia watumishi wa Mungu mbalimbali, nimekutana na Mtumishi wa Mungu ambaye huwa ninamkubali na katika mahubiri yake ndipo akaweka bayana kuwa neno au jina "Mkuu"/ "master " ni jina linolotumika kumuitia shetani/ibilisi (kwa wale wanaomfuata).
Hivyo basi kuanzia leo sitamuita mtu "mkuu" na pia sitaki mtu awaye yote aniite mimi "mkuu". Hii ni kutokana na ukweli kuwa ninamchukia mno shetani.