balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,372
- 13,769
Wengi wakikufahamu kama Mr. Siri,ulifundisha wengi na wengi wanatumia notes zako za Accountancy.Ametutoka jana Mungu amlaze pema panapomstahili.
Labda wote tumesoma Accountancy kwake.Umeelezea kana kwamba kila mtu JF amjua. Ongeza nyama nyama.
RIP mr. Siri