sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Habar ya hasubuh ndgu wana jamvi?
Ndgi zangu wanajamvi,nchi yetu umefika iliko kwa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake aidha vyema au vibaya ilimradi katimiza wajibu!
Kiuchumi nchi yetu imefika iliko fika kwa namna moja au nyingine wana uchumi wetu na taasisi zetu za kifedha kutimiza wajibu wake kwa wananchi maskini na natajiri.
Niende kwenye hoja yangu ya msingi,kwa takiribani miezi kumi nmekuwa nikifanya utafiti uliopelekea vyama vingi vya ushirika kufika vilipo,kwa maana kuwa na ukwasi,kufikiska na kufika pahala kufunga na kuuziwa mali zao.
Nimegundua mengi kwa mkoa mfano, wa morogoro Benki ya Crdb imeongoza kwa kutajwa kama adui namba moja wa ushirika kupitia watu ambao watumishi na viongozi wa ushirika wamewataja kwa majina mfano TEMU.
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimebaini uwepo wa uwezekano wa crdb kuwa ilikuwa ikitoa pesa taslimu na pesa hewa kwa vyama vya ushirika.
Mfano,chama k kilikopa milioni 600 ila kina pewa 308 znazobak zinabakia benk kwa wakina Temu,ni mfano tu,ila chama k hicho kinatatakiwa kulipa 700 kwa maana mkopo pamoja na riba.
Kwa ili crdb imelifanya karbia vyama vingi vilivofunga milango niombe mamlaka husika kwa kushirikiana na watoa huduma ambao Tume ya maendeleo ya ushirika imewapatia kibari kufatilia nadeni hayo mlichunguze ili.tunapotaka kujenga ushirika lazma turud nyuma tuone wap tulijikwaa? Waziri wa kilimo kupitia watoa huduma kaeni chini,ili watakueleza vizur.
Tatzo ili pia limekuja tena kurudiwa na taasisi ambayo mie binafsi skudhani kama inaweza cheza mchezo mchafu kama huu nayo,ni Tanzania investment Benk,taasisi hii ya umma imetoa mikopo mingi sanaaa kweny vyama vua ushirika lakini hawajui mikopo hiyo itarudje mfano,leo hii wako mitaani wanapita kweny vyama vua ushirika walivyovipa mikopo,na kuwambia kuwa wapeleke majina yote ya wadaiwa kwa afsa Tawala wa wilaya,hivi ni kwelli TIB mlitoa mikopo kwa ushirika paspo kujua vyama hivi meangalizi na mlezi wa vyama ni nani?
Na bado mnapotaka wapeleke majina hamuoni kuwa kutawaka moto?maana nanyi kuna watumishi wengi wenu walitoa mikopo hewa kwa vyama hivi na sasahiv mnawajia juu,kutaka walipe na madeni yasyowahusu?
Maoni yangu,CRDB na TIB mnatakiwa kujua mliko jikwaa ni wap? Nitoe rai yangu,mfanye kama walivo fanya SELF Microfinance kumpa mtoa huduma mmoja afatilie madeni yao,
Tume ya maendeleo nchini imetoa majina mbalimbali wa kufatilia madeni kwa lengo pia ka kujua wapi vyama vilikwama,nanyi watumieni hao walau wanaujuzi wa ushirika.
Kwa taasisi za serikal kama TIB na TADB na SELF kuna haja kubwa ya kuundwa kamati ya uchunguzi kuna pesa nyingi zinaibiwa kwa kutoa mikopobhewa kwa vyama vya ushirika niombe kamati iundwe na ichunguze mikopo hiyo kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita madudu yaliyoko uku ni aibu,mabilioni ya pesa yameibiwa,kila unakopita ,watu kama akina TEMU wanatajwa sanaaaaaaa,wanajulikana utadhani viongozi kumbe walishiriki kuuzika ushirika ilihali wao bado wanaishi.
Ni mimi mwenzenu mkulima mwana jf, sifileo nikitokea Mlimba morogoro sasa huduma Amana saccos.