Wanawake na wanaume

ngoma ya ukae

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
611
618
Ni kwanini kwa asilimia kubwa katika maisha ya mke na mme, wanaume utangulia kufa kuliko wanawake?
 
wanaume wana kuwa na stress nyng sana sababu ndio watafutaji so msongo wa mawazo ya utafutaji huwapelekea kupata maradhi ya moyo presha na mengneyo hatimaye kifo
 
Life expectancy ya mwanaume kuishi ni ndogo kulinganisha na hawa wenzetu wanawake, ugumu wa kushirikisha mambo kwa wanaume pia ni factor mojawapo ya kifo cha mapema, wanaume tupo radhi tufe na tai shingoni kuliko kushirikisha mambo yetu kwa wake zetu au watu wetu wa karibu kana kwamba hatuumii, pia msongo wa mawazo ni tatizo kubwa linaloua kwa kasi ya ajabu! Haya ni mawazo yangu kwa simple research niliyofanya!
 
Back
Top Bottom