Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Watakaoniita @ mimi sio mzalendo poa tu, lakini ukweli ni kuwa Tv za Tz hazina burudani. Zinajaza stress tu.
Kuna mida nakaa naangalia hata bunge la kenya na kulifatilia kwa makini kabisa kuzidi hata la Jamuhuri ya muungano.
Hii mimi hunisaidia kutoa stress na hasira. Maana kuna mambo yanaendelea nchini kwetu yanatia kechefu chefu. Ili kujiepusha na matatizo naona bora kuangalia Tv za kenya.
70% ya muda naotumia kuangalia tiv huwa natazama Maisha Magic east. 10% natazama movies. 20 natazama chanel nyingne za kenya. 0% natazama chanel za TZ.