Nimesoma na kuangalia kutoka kwenye magazeti na luninga kuwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni Tshs.265bn. Nimesikitishwa sana na fedha iliyotolewa ni KIDOGO, KIDOGO SANA. Kiimo ndicho uti wa mgongo na Watanzania asilimia 80 wameajiriwa na sekta ya kilimo kwa nini Bajeti iwe ndogo hivyo?. Waheshimiwa Wabunge tuliwatuma nini Bungeni?. Poleni sana waajiriwa wa sekta ya kilimo.