Utalii entertainment
Member
- Apr 11, 2017
- 21
- 2
Tanapa wamekuwa mabigwa wa matamko,watanzania wafanyeni utalii wa ndani au kuwachukua watangazaji wa vipindi kuwapeleka mbugani wao halafu wakirudi nao wanaendeleza matamko watanzania fanyeni utalii wa ndani imefika wakati watu wanahitaji kitu zaidi ya matamko.
Ni lazima watafute watu wabunifu ambao watakuwa na uwezo wa kuwafanya wanyama waishio mbugani wawe masupastaa kwenye maisha ya binadamu wa kawaida kwa kufanya hivyo watateka mawazo ya watu na watu hao kuanza kuwafuatili wamstaa wao wanaoishi mbugani.
Mfano mzuri ni faru john alipata umaarufu baada ya kufa lakini kama umaarufu huo angeupata bado akiwa hai kuna watu wangelazimika kwenda mbugani kumuona.
Hamuwezi kuboresha utalii wa ndani kwa mbinu zile zile za miaka nenda rudi na matokeo ya mbinu hizo hazifikii yale matalajio mnayoyahitaji.
Kutuambiwa simba anawinda hilo suala tunalijuwa na kuliona mara nyingi,tunahitaji ubunifu wa kutufanya maisha ya wanyama hao yaishi kwenye fikra za kila mtu kuanzia mtoto hadi wazima mbona faru john iliwezekana ni lazima mtafute namna ya kumfanya mnyama mmoja mmoja awe maarufu kwa jamii ya watu kwa matendo yake ikibidi hata kumtungia skendo ambazo zitateka mawazo ya watu sawa tu.
Kuwafanya watu wakatembee mbugani ni fikra wala siyo matamko.