KIMEI- Nunueni hisa za CRDB, na sio mashamba au nyumba mpate faida!

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
635
Haya ndiyo aliyosema CEO wa CRDB Bw. Kimei kwamba "KIMEI- Nunueni hisa za CRDB, na sio mashamba au nyumba mpate faida"!
Je CRDB nayo iko mbioni kufia huko? Kulilia watu kununua hisa je yamaanisha ni kuna shortage of Liquid? CRDB kibiashara inayumba? Au wako vizuri?
Wadau karibuni..
 
Hisa inayogawa Tshs 10 kwa kila hisa ya tuseme value ya Tshs 1,000 means kwa hizi dividends basi itachukua miaka 100 kurudisha value ya hizi hisa (Other things kept constant)
 
Mpuuzi kweli yaani anataka watu waendelee kupanga nyumba na kunyanyasika huku wenye hisa wakigawiwa tsh10 kwa hisa. Hata kama sijasomea uchumi siwezi kujiingiza mkenge wa kiwango cha lami .

Ni bora ninunue Viwanja maana vinapanda bei kila siku.
kiwango cha SGR Mkuu.
 
bora ukanunua croela ukafuga maana hawa kuku wanaweza kukulipa kuliko hiyo biashara kichaa yao
 
Financial institutions zina struggle sana..kuna kipindi income ilishuka sana.
Ni vema kuwa makini kabla ya kununua hisa pengine kwa wenye kipato cha ziada wanaweza nunua.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
bora ukanunua croela ukafuga maana hawa kuku wanaweza kukulipa kuliko hiyo biashara kichaa yao

Unamanisha Kuroiler mkuu???

Ila ni kweli aisee. Kwa maana kwamba kwa mtaji wa 2,000,000tsh ukinunua kuku hela utakayotengeneza ndani ya kwaka ni zaidi ya 200,000(wanagawa sh. 10 hisa)

Hivi hisa zao waliuza sh ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Actually uuzaji wa hisa katika soko la Dar es salaam upo chini sana, na ndio maana unaweka mzigo mkubwa kwa faida kidogo kulingana na mzunguko wa fedha ulivyo! Bei halisi ya hisa ingetakiwa kuwa Tsh 500 tofauti na hii ya Tsh 310 ya sasa, hivyo basi CRDB inabidi wajiongeze zaidi ikiwa pamoja na kutanua wigo kwa wateja wao Afrika mashariki katika masoko mengine ya hisa ili waweze kukuza kipato chao! Umasikini bado ni tatizo kwa sisi wabongo! Biashara ya Hisa inahitaji uvumilivu hah hah kwa kuwa ni kitendo cha kuzika fedha ardhini!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tusinunue mashamba wala viwanja tuwekeza CRDB duuu kweli dunia ina mambo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom