chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,081
- 1,437
Akija shetani ktk umbo la mwanadamu anasema"mimi naponya wagonjwa, maskini wanakuwa Matajiri, Na magonjwa wanayoponya"wanaanza kukutabiria ugonjwa wako uriluka dawa za kichawi mara kazi yako hautafanikiwa maana ulienda kuitafuta kwa waganga, wao kila taabu aliyo nayo mwanadamu imeletwa na uchawi. Biblia inasema,"Ezekiel 22:26-28,Makuhani wake kati yake wamekuwa kama mbwa-mwitu, wakirarua mawindo,ili kumwaga damu, na kuharibu roho za watu, wapate faida kwa njia isiyo halali. Na manabii wake wamewapakaa chokaa isiyokorogwa vyema, wakiona ubatili, na kuwatabiria maneno ya uongo, wakisema ,Bwana MUNGU asema hivi, iwapo BWANA hakusema Neno.kwa hiyo ndugu zangu njia nzuri ya kuwapinga waongo hawa ni kuitangaza injili ya Kweli, adui wa roho za anajua injili ya kweli hutakasa.Ayubu 30:8 Wao ni wana wa wapumbavu, naam, watoto wa wahuni, Walifukuzwa kwa mijeledi watoke Katika nchi.