mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mtandao maarufu INSTAGRAM ambao Umetajwa kwa ndio wenye madhara hasi makubwa kwa akili za vijana kuliko zote duniani...
Pamoja na Madhara mengi, pia kuna kile kinachoitwa "FOMO yaani Fear Of Missing Out"Kuhofu au kuhisi unakosa kitu kama hujaingia mtandaoni hata kwa muda mfupi pia Instagram imeonekana madhara haya ya FOMO yako juu zaidi...
Utafiti umefanywa na Shirika la Royal Society for Public Health na the charity Young Health Movement mwaka huu 2017.
Hii ndio list ya mitandao ya kijamii kulingana na Ubora au uchanya wake kwa watumiaji
1:YOUTUBE - Most Positive
2:TWITTER
3:FACEBOOK
4:SNAPCHAT
5:INSTAGRAM - Most Negative
Note: Mtandao wetu kipenzi JF haupokuhusishwa maana waliangalia mitandao yenye watu wengi duniani...