Nimeshajua Wakenya wanatuacha wapi Kimaendeleo na Kiakili!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  2. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  3. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  4. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  5. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  6. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  7. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Watanzania wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gabon mpaka Kombe la dunia
  2. SportsPesa na udhamini wa Simba na Yanga
  3. Kuchangia App ya Mange Kimambi ili kupata ' matango pori ' yake kila uchao
  4. Wema Sepetu na Jokate Mwogelo wamesema nini
  5. Mbunge gani katoa ' Shombo / Madongo ' leo Bungeni
  6. Upungufu wa mipira ya Kiume a.k.a Condoms
  7. Kumbi gani mpya ya starehe imefunguliwa.
Shikamooni Wakenya.
 
8189d710af200bfad37778f8844deb44.jpg
we jamaa utakuwa gyspy
 
Sema wewe ndo unawaza hvo, usidhalilishe watanzania wote, kisa we au kundi fulani wana mawazo hayo.
Jifunze kuwa mzalendo

Hata kusema ukweli pia ni sehemu ya ' Uzalendo ' au mwenzetu unavyoelewa Wewe ' Uzalendo ' ni kukumbatia ujinga na upumbavu? Kuzielewa ' threads ' zangu yakupasa uwe na IQ ya kutosha kwani nyingi huwa ni za kujenga zaidi na kuwabadilisha Wahusika ila kama ukiwa hukubarikiwa ' akili ' za kutosha unaweza kuona kama ulivyoona Wewe hapo. Pole sana!
 
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  2. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  3. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  4. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  5. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  6. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  7. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Watanzania wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gabon mpaka Kombe la dunia
  2. SportsPesa na udhamini wa Simba na Yanga
  3. Kuchangia App ya Mange Kimambi ili kupata ' matango pori ' yake kila uchao
  4. Wema Sepetu na Jokate Mwogelo wamesema nini
  5. Mbunge gani katoa ' Shombo / Madongo ' leo Bungeni
  6. Upungufu wa mipira ya Kiume a.k.a Condoms
  7. Kumbi gani mpya ya starehe imefunguliwa.
Shikamooni Wakenya.
We ndiyo una mawazo hayo, siyo watanzania wote, ni wewe tu na wengine wa aina yako
 
Nimeishi Kenya miaka nimezaliwa Tz naishi pia, wakenya hawako busy na mambo hayo kwa sababu yanapatikana kwenye mitandao, gharama za Internet Kenya ni ghali sana, kwa mtu wa kawaida kukaa tu kwenye net kwa masaa mawili ni kazi labda aende cyber cafe, sisi hapa fb bure unetegemea watu watafanya kazi?
 
Nimependa tabu wananchi wengi hawataki kujibadili.

Naongezea na hili la

Kiongozi wetu mpendwa, jembe la Taifa letu naye ni RC Mh. Makonda

Makonda oyeeeeeee
 
Dada yangu Watu wenye ' Hasira ' zao wakija baadae ' kukutukana ' hapa usilalamike kwani umewaanza mwenyewe na ' Hakyanani ' leo wakikushambulia hapa sikusaidii wala sikutetei. Unalo leo Bibie na ngoja waje tena hakuna kitu ambacho kinawaudhi Watanzania walio wengi kwa sasa kama kuwatajia hilo jina. Jiandae nao tu Kisaikolojia kwani najua hawatokuacha.
 
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  2. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  3. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  4. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  5. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  6. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  7. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Watanzania wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gabon mpaka Kombe la dunia
  2. SportsPesa na udhamini wa Simba na Yanga
  3. Kuchangia App ya Mange Kimambi ili kupata ' matango pori ' yake kila uchao
  4. Wema Sepetu na Jokate Mwogelo wamesema nini
  5. Mbunge gani katoa ' Shombo / Madongo ' leo Bungeni
  6. Upungufu wa mipira ya Kiume a.k.a Condoms
  7. Kumbi gani mpya ya starehe imefunguliwa.
Shikamooni Wakenya.
ww umeona hayo tu? mbona husemi wamekitoa madarakani Chama kikongwe? husemi hawataki ujinga wkt wa uchaguzi? husemi demokrasia yao ilivyo huru? Nying'au wewe
 
kipindi hiki cha mvua mawingi yanamuathiri huyuu akili zinamruka. ndugu zake wameshapiga kelele kipindi hiki asishike simu lakini kawa sugu.

kuna ndugu yake kanisimulia kwa masikitiko mpaka nikaona huruma.

cocochanel nilikutahadharisha mapema tu nadhani sasa unaona wenye ' hasira ' zao baada ya Wewe kulitaja hilo jina ' lisilopendwa ' sasa karibu Tanzania nzima pengine hata hadi Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu wanavyokushukia. Waombe radhi upesi Dada kwani najua leo ' watakushambulia ' mno hapa. Waambie tu kuwa ulikuwa unatania tu na watapoa.
 
Salama mkuu. Kiukweli watu wamejikita kuangalia mambo madogo tena yasiyo muhimu ila linapokuja jambo muhimu wanafuatilia kidogo na wanaliacha maana halina 'kiki'. Watu wanaenda na matukio kwa mfano sasa wapo arusha kwenye rambirambi
 
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  2. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  3. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  4. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  5. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  6. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
  7. Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Watanzania wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo:
  1. Gabon mpaka Kombe la dunia
  2. SportsPesa na udhamini wa Simba na Yanga
  3. Kuchangia App ya Mange Kimambi ili kupata ' matango pori ' yake kila uchao
  4. Wema Sepetu na Jokate Mwogelo wamesema nini
  5. Mbunge gani katoa ' Shombo / Madongo ' leo Bungeni
  6. Upungufu wa mipira ya Kiume a.k.a Condoms
  7. Kumbi gani mpya ya starehe imefunguliwa.
Shikamooni Wakenya.
Binafsi nimekuelewa vizuri Sana.
 
Back
Top Bottom