KISHAPU: Watumishi sita watumbuliwa kwa uzembe na utoro kazini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
Habari wanaJF,

Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imelazimika kuwafukuza kazi watumishi wake sita kwa makosa ya uzembe na utoro kazini wakiwemo madereva watatu waliokuwa wameajiriwa kwa muda baada ya kugundulika kuwa hawajakidhi vigezo vya ajira huku baadhi ya idara zikiwa zimekosa watumishi baada ya zoezi la kuwaondoa kazini watumishi zaidi ya 44 wenye vyeti feki kukamilika.

Chanzo: ITV
 
Watumishi wanatakiwa kujiendeleza na sio kutaka madaraka /uongozi bila kwenda shule. Unakuta mtumishi hata certificate hana anang'ang'ania cheo.
 
kipi ni kipi mara wametumbuliwa kwa uzembe na utoro kwenye maelezo wametumbuliwa kwa kutokidhi vigezo vya ajira...uandishi mwengine
 
hatari sana kama digiriii zenyewe hizi za chupi ni bora wabakie tu yaani mtu amejiendeleza hiyo digirii miaka mitatu amerudi kama alivyo kwenda
 
Back
Top Bottom