Karibu kwenye uzinduzi wa filamu yenye maudhui ya utalii iitwayo dunia nyingine

Apr 11, 2017
21
2
Kampuni ya kizalendo iitwayo Utalii entertainment inakuwa kampuni ya kwanza hapa nchini kutengeneza filamu zenye maudhui ya utalii tu( mtaani zinafahamika kama filamu za wanyama) .

Inatalajia kuizindua filamu yake ya kwanza iitwayo DUNIA NYINGINE siku ya jumapili terehe 21/5/2017 katika ukumbi uitwao patmo uliopo kigamboni kalibu na kituo cha polisi au hospitali ya kigamboni au kalibu na kituo cha daladala kiitwacho kwa chagani.

Mgeni rasmi atakuwa hashimu mgandilwa mkuu wa wilaya ya kigamboni pamoja na waalikwa wengine mbalimbali

Kalibu tujumuike pamoja HAKUNA KIINGILIO
Mawasiliano 0653 1449 17
 

Attachments

  • utalii.jpg
    utalii.jpg
    138.2 KB · Views: 17
Back
Top Bottom