Sasa jamani huyu mtu hata Bungeni yaliwahi kuulizwa maswali kuhusu utajiri wake ilihali mshahara wenyewe ni kama 4.8 million na kazi yenyewe haina hata miaka 3
Baadaye tukaonyeshwa documents za...
Wakazi wa Ilala Amana tumepatwa na Msiba wa Mke wa muuza chips maarufu kwa jina la Barafaa, Msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Moshi na Mwanza nyumba ambayo anafanyia biashara yake ya chips.
Ndugu nisaidieni kidogo nini hutokea pale mfungwa anapofariki akiwa bado anatumikia kufungo chake. Je ndugu zake hupewa taarifa pamoja na mwili au kuna taratibu gani?
Salum Mohamed Almasi alizaliwa mwaka 1989 ni mjukuu wa sheikh Muhammad bin Abdurrahman Ashadhuly. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Kivinje iliyopo Kilwa Kivinje darasa la kwanza...
Veta ni taasisi ya serikali na ni miongoni mwa taasisi zilizojisimamia kataka uhakiki wa vyeti bila uwepo wa wawaklsh wa baraza la mitihani.
Cha kushangaza majina ya waliogushi yalipotoka...
Msijione kwamba mnapendwa pamoja na kwamba social media na nchi nzima ipo upande kwenye hili sakata lenu na Bashite. Ukweli ni kwamba jamaa anachukiwa sana that's why watu wana sympathise na nyie...
Wanajamvi, kwanza niwasalimu nyote.
Ninashida na "firm" inayotengeneza unga wa ndizi inaitwa Kishenga Entreprises ipo Dar es Salaam. Kwa yeyote mwenye taarifa nayo, hasa kwa mawasiliano...
Salaam wana JF,
Siku kadhaa nyuma niliona taarifa kwamba serikali ipo mbioni kutangaza ajira 15 elfu za dharura ili kujaza upungufu wa watumishi waliotumbuliwa kwa vyeti feki cha ajabu hadi sasa...
Unaweza kuona kama ni swali uchwara , lakini si hivyo .
Uchunguzi wangu umebaini kwamba , hiyo vocha unayonunua kwa Tsh 1000 , aliyekuuzia aweza kuwa alinunua vocha hiyo hiyo kutoka kwa supplier...
Kaanza Saudi Arabia(mji mtakatifu wa Dini ya Kiislamu), Kaja palestina/Israel kuna Jerusalemu mji mtakatifu kwa wakatoliki na Atamalizia Ziara yake kwenye kitovu cha wakatoliki wenyewe Vatican kwa...
Katika mgao wa TZS 3.1 Billion ambazo airtel wamegawa leo mim pamoja na kuwa mteja maarufu wa airtel mwenye miamala ya maana airtel money nimeambula shs 461 tu bila senti.
Airtel, acheni...
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi...
Mheshimiwa Spika naona CHADEMA wamefikia pabaya wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.
Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumeyapata, shule za Msingi, sekondari na Vyuo viko vingi leo...
Najua sasa hivi huko kwenu kuna ukavu kama ule wa ukavu macho, na mnapo angalia kwa kupitia dirishani mnaona rangi nzuri ya kijani kibichi kilicho stawi vizuri kutokana na neema ya wakazi wake...
Kwenye Barua ya Kutenguliwa Uwaziri kwa aliyekuwa Waziri wa Habari. Mh Nape hakuna sababu ya kutenguliwa kwake iliyoelezwa. Kilichoelezwa ni kuwa Mh. Rais ameamua kufanya mabadiliko madogo ya...
Kila mara "Mila Potofu" hutajwa kwamba ni kikwazo cha maendeleo. Binafsi hupata taabu kuelewa hizo mila potofu.
Mila potofu ni zipi?
Ziliwekwa kwa makusudi gani,
Na nani aliyeziweka,
Kisha...
Kwa mnaotunza kumbukumbu, tusaidie kidogo:
Nani aliwahi kuwa RPC wa DSM akatoka vizuri? Turudi hata kabla ya kuwa Kanda maalum ya DSM.
Profile inaonyesha: Ukiwa RPC DSM, usipotumiwa na majambazi...
Kwa maisha yanavyokwenda hali ya maisha ya Tanzania imebadilika ambapo kwasasa mfuko wa Cementi Kg 50 bei yake ni elfu 11,500 wakati bei ya kiroba cha unga KG 50 kwa sasa ni Elfu 96,000 hii...