Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Humu ndani tunatumia ID fake wengi wetu,sasa ikitokea issue ya msiba tunajuaje ili tusiwe tunafanya reference ya mtu ambae hatuna uhakika kama bado yupo hai ama laah! Lakini,pia,nadhani...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba binadamu wote ni sawa ..hili ni kwa sehemu tu ya yale mahitaji ya lazima... Kiuhalisia tunatofautiana pakubwa sana! Teja kamwe hawezi kufanana na konda wala...
28 Reactions
62 Replies
6K Views
MCL kuweni makini na biashara zenu siamini katika kampuni kubwa kama mwananchi communication limited Kufanya kosa kama hili katika nchi yenye watu ambao ni makini kuleta sokoni habari...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rufiji. Watu watatu wamefariki dunia kwa kuzama majini na mmoja kunusurika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakivukia kuzama bwawani wilayani Rufiji mkoani Pwani. Akithibitisha kutokea kwa vifo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haijalishi uko katika hali gani lakini unauwezo kuzifikia ndoto zako na hili linathibishwa na Mtoto Ismail Zulfic mwenye umri wa miaka 6. Mtoto huyu amezaliwa akiwa hana mikono na pia mguu ukiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa alikutwa na wanajeshi kavaa t shirt na kofia za jeshi, wakambananisha alikovitoa, wakataka wampeleke kituoni akawagomea na kupambana nao!
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Kumbe tunaweza kuyafukuza makampuni uchwara ya kigeni na bado tukashinda kesi. City Water yatakiwa kuilipa Dawasa bilioni 14/- Maulid Ahmed HabariLeo; Thursday,January 10, 2008 @21:02...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu ni yule aliyeshinda uchaguzi wa marudio , baada ya kufariki kwa diwani wa siku nyingi wa kata hiyo Anderson Challe . Naendelea kufuatilia , nitawaletea taarifa kamili .
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Muungano wa africa mashariki utaendelezwa ikiwa Raira atashinda urais??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Suala la mirathi/urithi ni miongoni mwa mambo ambayo hupumbaza watu maskini kujituma; kuna watu kutwa kucha kucheza bao na kubet wakisubili kurithi Mali za wazazi wao! Hili linachangia sana...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe milele! Leo nataka nianze kukufundisha juu ya: “Mambo unayohitaji kuyajua kuhusu ndoto unazoota ili iwe vyepesi kufanikiwa kimaisha”. Jambo la 1: “Usiipuuzie ndoto uliyoota...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Binafsi tukio kama hili lilishanimkumba ndugu yangu maeneo ya Tabata na walifanikiwa kuiba fedha taslim 2.7mil pamoja na begi ya nguo. hatukujua ni walitumia nini wengine walisema kinyundo cha...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Swali langu dogo wandugu, je wale mabalozi wanaorudi nyumbani TZ baada ya kutumikia taifa huko ughaibuni, wakirudi TZ wanashughulika na nini? Nauliza hivyo maana hawasikiki tena mara warudipo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa ili kujua na kujiandaa na hiki kinachoendelea Dar es salaam. Huu upana wa 121.5m kwa maana ya road researve ni kwa Dar es salaam tu ama ni kwa barabara zote za tanroard nchini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada, Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano...
8 Reactions
145 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewatahadharisha wanaomchokoza akisema ni sawa na mtu anayeanzisha ugomvi huku akiwa amevaa taulo. Akihubiri leo, Gwajima...
1 Reactions
76 Replies
15K Views
Habari za leo rafiki? Karibu kwenye barua hii ya wazi kwa wale wote ambao wamekutana na changamoto ya ajira yao kuisha ghafla. Hapa kuna wale ambao wamefukuzwa kazi, wametumbuliwa na waliokutwa na...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba Paka ndiyo Mnyama pekee ambaye anaweza kwa haraka sana kutambua ama roho mbaya ya Mtu au roho nzuri yake na kwamba huweza kukutambua kwa muda wa kati ya sekunde tatu hadi tano...
9 Reactions
81 Replies
9K Views
Bila shaka kiwango changu cha hasira kimepitiliza leo. Hivi sheria zipo Tanzania? Kwanini tunaishi kwa kunyanyaswa na kubaguliwa ndani ya nchi yetu? Hivi wana jamii forum nyie ma- great thinker...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…