Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Jamaa alikutwa na wanajeshi kavaa t shirt na kofia za jeshi, wakambananisha alikovitoa, wakataka wampeleke kituoni akawagomea na kupambana nao!
Kavuta mibange huyo mleta picha!.Sasa mkuu wapi kapambana nao zaidi ya kulia lia??
wee hujaona alivyowakwida na kuwagomea hapo?Sasa mkuu wapi kapambana nao zaidi ya kulia lia??
bange? wee hujaona alivyowakwida na kuwagomea hapo?Kavuta mibange huyo mleta picha!.
Mimi naona mpo kazini vijana wa magufuli huyo amepigwa banzi moja tuwee hujaona alivyowakwida na kuwagomea hapo?
Haya nimeona.bange? wee hujaona alivyowakwida na kuwagomea hapo?
kivipi mkuu?Mimi naona mpo kazini vijana wa magufuli huyo amepigwa banzi moja tu
Hajagoma bwana anaomba aokolewe na huyo alomkwida,aisee au macho yako yanaona vibaya?wee hujaona alivyowakwida na kuwagomea hapo?
Basi sawaHajagoma bwana anaomba aokolewe na huyo alomkwida,aisee au macho yako yanaona vibaya?