fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 382
- 654
MCL kuweni makini na biashara zenu siamini katika kampuni kubwa kama mwananchi communication limited
Kufanya kosa kama hili katika nchi yenye watu ambao ni makini kuleta sokoni habari iliyokosewa na kisha msiwaombe Wateja wenu msamaha hili ni "MAFURUKU"
Nimelitafuta katika kamusi zetu hakika nimelikosa sijui mharili ulitumia Kamusi ipi yenye Neno hili uliloamua kulitumia katika chapisho lako la tarehe 28/05/2017
Naamini kwa mharili makini hawezi kuidhinisha chapisho hilo liingie sokoni huo ni uzembe na kutokujari Kazi yenu...