Diwani mpya wa ccm kata ya kijichi naye afariki dunia .

Huyu ni yule aliyeshinda uchaguzi wa marudio , baada ya kufariki kwa diwani wa siku nyingi wa kata hiyo Anderson Challe .

Naendelea kufuatilia , nitawaletea taarifa kamili .
Kwanini katika heading ya thread yako umeandika naye ?.Ina maana kuna muendelezo wa vifo vya madiwani?.Kama ndiyo, wangapi?.
 
Aliyemfuatia kwa kura apewe nafasi kama ilivyo kwenye nafasi ya Viti Maalum ili kuokoa fedha za kuitisha uchaguzi mpya
 
Back
Top Bottom