franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,471
Swali langu dogo wandugu, je wale mabalozi wanaorudi nyumbani TZ baada ya kutumikia taifa huko ughaibuni, wakirudi TZ wanashughulika na nini? Nauliza hivyo maana hawasikiki tena mara warudipo. Nina mpango wa kuanzisha kitakachoitwa INTERNATIONAL DIPLOMACY COLLEGE (IDC) sasa nahitaji kuwaajiri humo.