Suala la mirathi/urithi ni miongoni mwa mambo ambayo hupumbaza watu maskini kujituma; kuna watu kutwa kucha kucheza bao na kubet wakisubili kurithi Mali za wazazi wao! Hili linachangia sana familia za kiafrika kuuwana!
" Kuna mzee mmoja alipogundua wanae hawataki kujituma, na kutwa walibishana kuhusu namna watakavyolithi Mali zake, yule mzee alikuwa na ghorofa moja ambayo alikusanya kodi kutoka Kwa wapangaji, yule mzee alivyogundua watoto ni wehu, akaamua kuandika wosia ( akielekeza kwamba pindi atakapokufa chini ya ghorofa kuna sanduku la dhahambu aliwahi kulificha ili liwafae wanae badae), na kweli baada ya yule mzee kufariki, wale watoto fasta walikodi greda na kubomoa lile ghorofa na wasiambulie chochote, wakaamua kuusoma tena Kwa makini ule wosia, yule mzee aliandika Kwa nyuma *MTAKAPOMALIZA KUBOMOA,SASA HAKIKISHENI MNATAFTA MALI YENU WENYEWE* na ndipo walipogundua nini mzee alimaanisha"
ULITHI UNAPUMBAZA!
****************************
CHANGAMOTO ZA WALITHI.
Katika kuondoa mkanganyiko Wa matumizi ya mirathi, wosia ndiyo kitu pekee kinachozingatiwa na kuheshimika endapo wosia ule uliandikwa Kwa kuzingatia masharti;
SWALI;
1. mtu aliye andika wosia akielekeza mali zake ziteketezwe zote; je; wosia huo waweza tenguliwa? (Kwanini)
2. Mwanamke aliye achika na kuacha watoto, halafu akaolewa sehemu ingine, pindi mwanaume aliyezaa naye anapofariki bila wosia, yule mwanamke Atakuwa na mgawo wowote kama mjane? (case study- IVON vs Zar )
3. Mwanamke mwenye watoto anayerithishwa Mali za mmewe, halafu mwanamke huyo baada ya mda akaolewa na jamaa mwingine, halafu naye akafariki! Je? Mali zake anaruhusiwa kurithi yule jamaa? (Kama ni ndiyo kunafaida gani mjane kurithi Mali?)
4. Mwanamke aliye ishi kinyumba na bwana ake pasipo ndoa Kwa at least 6 months, pasipo wosia je anaruhusiwa kuwa mrithi sahihi Wa Mali za marehemu?
[HASHTAG]#miss chagga[/HASHTAG] na [HASHTAG]#miss natafuta[/HASHTAG] michango yenu ni mhimu sana!