N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,202
- 10,438
Humu ndani tunatumia ID fake wengi wetu,sasa ikitokea issue ya msiba tunajuaje ili tusiwe tunafanya reference ya mtu ambae hatuna uhakika kama bado yupo hai ama laah!
Lakini,pia,nadhani tukifahamu tunaweza kuhudhuria msibani na kuhani msiba as JF members wa eneo husika eg mwanaJF wa Arusha,Mwanza,au wherever akifariki, hata diaspora wakiwemo ndugu zangu wabeba boksi huenda wangepata michango ya kusaidia kurejesha msiba nyumbani. nk nk.
Lengo sio kufahamiana hasha! ila kuomboleza msiba wa mwanajukwaa mwenzetu, sisi ni ndugu,na tuna mchango mkubwa kwa Taifa na maisha yetu ya kila siku. Umuhimu wetu unaweza kuongezeka tukishirikiana kwenye misiba pia wakati wa maradhi yaliyokazana sana.
Ikumbukwe lengo sio kufahamiana aah! ila kujumuika wakati wa misiba na maradhi yaliyokazana sana...Je nafsi ya tatu kv Mods wanaweza kutoa taarifa juu ya msiba? au modality gani inafaa.