Msaada:Ni barabara zipi ndizo zinahusika na huu upana wa 121.5?

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Naomba kufahamishwa ili kujua na kujiandaa na hiki kinachoendelea Dar es salaam.
Huu upana wa 121.5m kwa maana ya road researve ni kwa Dar es salaam tu ama ni kwa barabara zote za tanroard nchini?
Alama ambazo tanroad wameziweka pembezoni mwa barabara karibia Tanzania nzima ni zile za 30m kila upande.
Naomba kufahamu kama sasa zote nchini zimeongezwa hadi kufikia hii ya Dar es salaam 121.5m?
Asante.
 
Jamani tuheshimu sheria za barabara...unakuta mtu kajenga karibu na sehemu tairi LA gari linapokanyaga...unajiuliza huu Ni ujanja au ujinga? Gari ikikosa mwelekeo kidogo mmekwisha alafu ooh kazi ya Mungu haina makosa..kweli? Watu Wa pwani ndo wenye tabia hizo...huwezi kuta haya mambo mikoa kama Mara...au BK.Let's change
 
Back
Top Bottom