Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wanaonielewa, hivi mineral royalty rate ni ngapi kwa sasa duniani? Ila kwa kumbukumbu zilizoziona, ni kati ya 2.5% na 5% inategemeana na kiwango cha Gold kwenye mchanga. Sasa kwa kupewa 4%...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Tahadhari hiyo imetolewa na shirika la chakula na kilimo FAO Ijumaa likisema mlipuko wa maradhi hayo uchukuliwe kwa tahadhari na nchi zinazosafirisha sato zihakikishe zimechukua hatua madhubuti za...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu, chukueni tahadhari na mtu anayejitambulisha kama Mr. William Mbeya kwenye masuala ya ajira yani "job adverts". Anajifanya kama HR wa BancABC na ana-post kazi kwenye tovuti kama ZoomTanzania...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Balaa la Mungu alipoiumba Sayari ya Mars Jamani hii kitu ni kweli kwamba eti... Nashindwa kuelewa hiki ni kioo cha jamii forums au nini? Nimefanya uchunguzi blog hii hakuna HABARI hata moja...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna mwana jf alijitokeza humu akiomba wana jf tumsaidie mtaji kidogo aanzishe biashara baada ya kumaliza chuo, kukosa ajira na kushindwa kuanzisha mradi wowote kutokana na kukosa mtaji...
63 Reactions
232 Replies
15K Views
pengine hii ikawa siri kubwa zaidi ambayo matajiri huwa hawaisemi zaidi huwa wanasema ushuhuda tu ilikuwa vipi mpaka wakafanikiwa lakini ukweli kuna elimu kubwa ndani.ya vitabu vilivyoandikwa na...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Wanajf nawatupia huu Uzi kama kutoa tahadhari kwa wale wanaopenda kutumia dawa kwa ajiri ya kuongeza nguvu. Leo kuna KIJANA mmoja nimemuona KUPITIA EMMANUEL TV dushe lake lilishasimama Siku...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nafurahi sana ukifika pale hata kama unavuja damu muda huu utasitizwa kwanza nenda ukakate tembo card utafikiri umeenda kufungua akaunti ya crdb ambayo inabidi uwe na elfu 12 na mia 5 ,cha ajabu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Serikali imetangaza ofa ya siku 3 kuanzia June 2 hadi June 4, 2017 Watanzania wataingia bure kwenye mbuga za wanyama nchini kote.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia tukio lwa waandishi wa habari kukamatwa na polisi wakiwa wameenda shule ya Lucky Vincent, IGP Mangu amesema sio lengo la polisi kuwakwaza na hayo yaliyofanywa na polisi wa ngazi za chini...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
TANZIA. Familia ya Marehemu Mh. Samuel Sitta, inawatangazia Ndugu, jamaa,na Marafiki imepata Pigo la kuondokewa na Mdogo wa Marehemu Mh.Samuel Sitta, ambaye alikuwa Meya wa mji mdogo wa Urambo...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Jamboni wote wana JF. Nimekuwa nikiwaza sana bila kupata majawabu ndipo nimeona niombe kwenu msaada. Ni kwamba maishani mwangu sijawahi kuona mwanamke yeyote yule aliye na upara kichwani. Hii...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
*WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI VYA KUHITIMU MASOMO YAO*. Ni mahafali ya pili ya CCM Vyuo vikuu dar Mgeni rasmi Naibu katibu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Gari walilokuwa wakisafiria baadhi ya wachezaji na mashabiki wa klabu ya Simba akiwemo nahodha wa kalabu hiyo Jonas Mkude limepinduka maeneo ya Dumila mkoani Morogoro baada ya tairi ya gari ya...
0 Reactions
53 Replies
19K Views
Kwa hicho Kichwa cha Habari Nisiseme mengi, Nisije Nikajiamshia Dude chonde chonde! Ila mimi kwa hesima na Taadhima sana nilitaka kwa hisani yake! Ikimpendeza, akiona sawa aangalie kama kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sabalkheri wanaJamii Forums! Ni Jumapili tulivu kabisa iliyo na Neema kwetu binadamu, kama una siha njema ni Jambo la kumshukuru Mungu.Poleni na Ibada na pia poleni ndugu zangu wa Madhehebu ya...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Tanzania Daima: Vyeti feki vyamng'oa IGP Mangu Uhuru: Mangu kupangiwa Kazi nyingine Habari Leo: Mangu amshukuru JPM Mwananchi: Kibiti yamponza IGP Mangu Nipashe: Mangu atumbuliwa
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais John Pombe Magufuri leo amewatembelea wagonjwa mbalimbali katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kukutana pia na mtoto anayekunywa mafuta na mzee aliyetengeneza Nembo ya Taifa ambao wote kwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za jioni wakuu Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Nakumbuka kipindi cha nyuma,kabla ya habari yoyote haijatoka sisi humu tulikuwa tunazipata tetesi mapema kabisa na mwisho wa Siku...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchungaji Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, amesema ni bora pro Muhonho na wenzake wameondolewa mapema katika wizara ya noshati na madini ili watu wengine wenye uwezo waweze kuongoza wizara...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…