Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi pongezi ziwafikie mama zetu wote waliotulea na kukua hadi hapa tulipofikia kuwa tunajielewa hasa kwa sisi tuliokuwa "TUNAPANGWA" tuwape hongera mama zetu, kwani kwa sasa hawa watoto wa "POTI"...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau- kama tunavyishuhudia siku hizi polisi wanashindana na raia wa kawaida katika kufanya vitendo vya ujambazi, wizi, mauaji nk nk ingawa wao ndiyo wanatakiwa kulinda raia. Habari za juzi za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naandika Uzi huu Kwa hasira uchungu na masikitiko kutokana na habari hii iliyotolewa na waziri Kairuki Nawalaani Watanzania waliomchagua Magufuli Kwa maana ndo anasababisha yote Haya Anapaswa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo ya Pwani ya Tanzania. Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni mikoa ya Mtwara, Lindi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J Lema Mh Mwigulu Nchemba nafikiri ni vyema sasa ukaanza kuishi kama Mbunge wa kawaida kwani baada ya IGP Mangu kuondolewa sasa zamu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Watanzania 27 wamejeruhiwa katika ajali ya basi kampuni ya Falcon walilokuwa wakisafiria kuelekea kutokea Tanzania kuelekea Uganda, baada ya kuangukia upande wa kushoto njia kuu ya Masaka, Uganda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Unaposhika vitu vingi kwa wakati mmoja.....kuna uwezekano wa kushindwa... 1.wafanyakazi hewa ..replacement bado na bank wanataka kulipwa mikopo yao nani wakulipa ..serikali.. 2.vyeti fake...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Je ni Kosa la Jinai, Kiueledi na la Kitaaluma kwa Waajiri kuwaajiri Watu ambao labda wanawahisi ni Knowledgeable na Intelligent pengine kuliko wao au labda kwa kusikia tu sifa zao kutoka kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amepiga marufuku biashara ya mbao kutoka katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ili kuepusha uwezekano wa hatari ya kuzuka kwa maambukizi ya virusi hatari vya...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Nimetembelea baadhi ya miji ya Tanzania pamoja na ya nje ya nchi na mingine nimeona kupitia TV. Miji ya watu ina masanamu makubwa tena yenye ubora na inapendezesha miji yao lakini Tanzania tuna...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Date::11/2/2008 Siasa ndani ya CCM, hatimaye Nape Nnauye amalizwa Na Saa Mohamed Mwananchi KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imechukua maamuzi mazito baada ya kupangua majina ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Simon Sirro: Huyu ndiye IGP aliyetamani kuwa Padri
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naimani wote mko salama na hata walioktk shida ngumu Mungu awajaalie yaliyomema na kufuta machozi yao. Rejea somo tajwa, natambua miezi kadhaa imepita tangu pombe ya viroba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa watani wa Jadi wamekuwa wakituambia mara nyingi kuwa watz hatujasoma. Wanafika kutafuta ajira Bongo kwa kuongea kiingereza wanaonekana wamesoma baadhi ya waajiri wanaingia kwenye mtego huo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hatimaye waziri mkuu KASIMU MAJALIWA ametimiza ahadi yake aliyotoa januari 5 mwaka huu, kwa wakazi wa halimashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma ya kuwaletea gari la wagonjwa. Gari hilo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Vijana wengi Afrika Mashariki wamekuwa wakitumia baiskeli kufanya biashara ya uchukuzi wa abiria, maarufu kama boda boda. Ni kazi inayohitaji mhudumu atumie nguvu nyingi za mwili wake. Sasa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala imepanga, Mei 31 mwaka huu kutoa uamuzi dhidi ya mshtakiwa Baraka Joshua(23) kama ana kesi ya kujibu au la. Hatua hiyo imefikia baada ya upande wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa Dodoma hivi karibuni...Kwakweli kuna mikoa watu wanasema gharama za maisha zipo juu...lakini huu wa Dodoma umezidi..bidhaa zinauzwa mara mbili ya bei halisi kama siyo 75%+.. Watu wa...
2 Reactions
53 Replies
14K Views
Habari Wanabodi, Juzi nikiwa katika sherehe ya harusi moja hivi ambayo Mkurugenzi wa Manispaa (Jina ninalihifadhi kwa sasa) alihudhuria pia. Katika sherehe hiyo Mkurugenzi alipewa nafasi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
*Facts 50 Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo.* 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…