Bila kufata utaratibu wa kurekebisha matatizo yetu tutakwama

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Unaposhika vitu vingi kwa wakati mmoja.....kuna uwezekano wa kushindwa...

1.wafanyakazi hewa ..replacement bado na bank wanataka kulipwa mikopo yao nani wakulipa ..serikali..

2.vyeti fake replacement bado....hospitali nyengine zimefungwa ... sababu staff shortage.bank wanata pesa za mikopo ya wafanyakazi hewa...nani wakulipa serikali

3. wafanyakazi wa serikali waliosimamishwa kimya ..wanakula kodi zetu bila kuzifanyia kazi.

4.makao makuu dodoma pesa ...fungu lakutosha lazima litumike.

5.Elimu bure kweli limetekelezeka kwa ufanisi.

6.Sera ya Viwanda...mmm!! tunafika kweli... tulipanga kuvifufua viwanda vyote vilivyokufa ...je??
linatekelezeka....

7.Mahakama ya mafisadi ...kweli kusudi na lengo lake limetekelezwa.

9.pension za wa staafu mpaka leo kitendawili...

10.elimu bure...madeni ya walimu kimyaaaa...

11. kugawa 50,000,000. kwa kila kijiji kimyaaaaa


Sasa tupo katika sakata la mchanga.... kusudi na lengo la Magu ni zuri sana ..anataka Tanzania tufike pale tulipotakiwa kufika...swali...
1.kuna jeshi la kupigana vita vyote...sababu maisha ya mtanzania si madini tu.

2.Je wote wanadhamira kama yake au wengine ni wa fata mkumbo sbb ya matumbo yao... hivyo wanabaki kuwa ndiyo

maoni... kama kupigwa ..tumepigwa sana...sasa basi twende step by step katika kurekebisha makosa yetu...tutajikuta tumebeba mambo mengi utekelezaji wake sifuri... miaka 5 hiyoooo ..sasa hivi uchaguzi... nini tumefanya hakuna...
 
Back
Top Bottom