RC Rukwa azuia biashara ya mbao kutoka Congo sababu ya Ebola

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,599
9,529
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amepiga marufuku biashara ya mbao kutoka katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ili kuepusha uwezekano wa hatari ya kuzuka kwa maambukizi ya virusi hatari vya ugonjwa wa Ebola.

Ugonjwa huo umeripotia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo jirani.
⁠⁠⁠⁠
 
Back
Top Bottom