yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Nimetembelea baadhi ya miji ya Tanzania pamoja na ya nje ya nchi na mingine nimeona kupitia TV.
Miji ya watu ina masanamu makubwa tena yenye ubora na inapendezesha miji yao lakini Tanzania tuna tusanamu tuchache, mingi ni viminara vya hovyo kwenye roundabout vinavyohusisha historia na uhuru. Viminara vyenyewe vimechoka, vidogo..
Sanamu lenye ubora ni lile la askari pale Dar, lakini nalo ni dogo mno. Kwa wenzetu hivi vitu vinabeba alama ya taifa au mji kama like la Paris au la New York, Marekani..
Jamani hata Nairobi wametuzidi?!