Lema: Mwigulu nafikiri ni vyema sasa ukaanza kuishi kama Mbunge wa kawaida kwani baada ya IGP Mangu

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J Lema
Mh Mwigulu Nchemba nafikiri ni vyema sasa ukaanza kuishi kama Mbunge wa kawaida kwani baada ya IGP Mangu kuondolewa sasa zamu inayofuata ni wewe.
tmp_28142-Screenshot_2017-05-29-22-41-47110944680.png
 
Hii ni ndoto au utabiri? Asije IGP mpya akaanzia kazi kwake akarudi tena rumande!
 
Hii ni ndoto au utabiri? Asije IGP mpya akaanzia kazi kwake akarudi tena rumande!
Wakati Lema wakati anaambiwa huu uonevu ukiisha kwa wapinzani watahamia kwenu CCM mlikuwa mnaona ndoto ambacho kilitokea kwa Nape Nnauye, Adamu Malima pamoja na Hussein Bashe bado hajifunzi?
 
Wakati Lema wakati anaambiwa huu uonevu ukiisha kwa wapinzani watahamia kwenu CCM mlikuwa mnaona ndoto ambacho kilitokea kwa Nape Nnauye, Adamu Malima pamoja na Hussein Bashe bado hajifunzi?

Mkuu mimi sio ccm, usintie nuksi, nimetahadharisha tu asije kuwa sample space ya IGP mpya kuonyesha kwamba mteuzi wake hajakosea.
 
Tatizo la hawa jamaa ukiwatumbua tu wanahamia cham pinzani kuendlez xaut zaoe zle zle tnaonewa Walipokuwa na madaraka hawakusema wanatumbuliwa eti watetezi wa wananchiii duuh amakweli mkinizima nisisikike ntaenda cheza kabumbu!!!!!!
 
JPM kwa kupenda ligi hatomtumbua kwa sasa

Ni sawa na Sie udogoni kuonesha ujeuri kwenu Siku Moja ukiambiwa Kaa unasimama, Simama unakula, ukiambiwa hiki unafanya vile sasa Mie Brother wangu alikuwa akinichezea akili bila ya kujijua kuwa ananituma bila ya Mie kujua anaweza akaniambia Usinipigie Mpira Basi nampigia

Anaweza akaniambia huna ubavu wa kufanya kitu fulani nami kwa ubishi nafanya, Tukikumbushana haya Uzeeni tunacheeeka!

Lema hapo anajaribu kucheza na Akili ya Rais
 
Back
Top Bottom